LIVE STREAM ADS

Header Ads

BENKI YA DTB YAZINDUA TAWI JIJINI DAR ES SALAAM.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh. Benjamin Sitta, akikata utepe katika uzinduzi wa tawi jipya la Benki ya Diamond Trust lililopo barabara ya Mwai Kibaki, Mbezi Chini Jijini Dar es salaam, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Viju Cherian na kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Fedha Joseph Mabusi na Meneja wa Tawi hilo Msingo Kimune wakishuhudia. Tawi hilo ni tawi la 12 jijini Dar es Salaam na ni tawi la 26 nchini Tanzania.
Na Imma Mbuguni
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh. Benjamin Sitta akiongea na wageni waalikwa kwenye uzinduzi wa tawi jipya la Benki ya Diamond Trust lililopo barabara ya Mwai Kibaki, Mbezi Chini jijini Dar es salaam, Tawi hilo ni tawi la 12 jijini Dar es Salaam na ni tawi la 26 nchini Tanzania.

No comments:

Powered by Blogger.