LIVE STREAM ADS

Header Ads

KESI YA MAUAJI INAYOMKABIRI MKURUGENZI WA MABASI YA J4 YA JIJINI MWANZA YAENDELEA KUPIGWA TAREHE.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Na Masyenene Damian, Mwanza
Kesi ya mauaji inayomkabiri mfanyabiashara na mmiliki wa kampuni ya mabasi ya J4 Express ya jijini Mwanza, Jumanne Mahende, imehairishwa tena katika mahakama ya mkoa wa Mwanza.

Kesi hiyo ilitajwa jana mbele ya Hakimu Wilbert Chuma, ambaye aliiahirisha hadi Oktoba 17 mwaka huu, huku upelelezi ukiendelea ambapo Mahendele amerejeshwa tena rumandwe.

 Awali mwendesha mashitaka wa serikali, Emmanuel Luvinga, alidai mahakamani hapo, Julai 13, mwaka jana, majira ya usiku maeneo ya Nyakato Boma, Mahende kwa kutumia silaha ya moto aliwafyatulia risasi Ally Mohamed mkazi wa Igoma na Claude Steven wa Nyasaka Jijini Mwanza na kusababisha vifo vyao.
Bonyeza HAPA Kwa Taarifa Zaidi

No comments:

Powered by Blogger.