LIVE STREAM ADS

Header Ads

KHERI YA KUZALIWA MDAU WA BMG, AYOUB RICHARD MZEE WA BUMACO JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
BMG inaungana na mdau wake, Ayoub Richard a.k.a Maghinga kutoka Kampuni ya Bima ya Bumaco ofisi ya Mwanza, kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

"Namshukuru Mungu kwa kuzidi kunipigania na kunilinda mimi tangu pale nilipoliona jua kwa mara ya kwanza, tarehe na mwezi kama huu. sipo hapa kwa kupenda au kutaka mimi, hapana nipo hapa kwa msaada wa Mungu wa Mbinguni. asante baba kwa kunifikisha na kunikubalia kuona na kuongeza mwaka mwingine tangu pale nilipozaliwa tarehe 08 mwezi wa 10 miaka kadhaa iliyopita". Richard ameyabainisha hao.

BMG inakutakia maisha Mema na zidi kubarikiwa kama Nick Name yako ilivyo "Blessed Boy".

No comments:

Powered by Blogger.