LIVE STREAM ADS

Header Ads

MCHUNGAJI DKT.KULOLA AWAHIMIZA WATU WOTE KUFIKA KWENYE TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU LEO JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la "Lumala Mpya International Church" lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza, Dkt.Daniel Moses Kulola, anawahimiza watu wote kufika kwenye tamasha la Kusifu na Kuabudu linalofanyika hii leo kanisani hapo.

Dkt.Kulola amesema watu wote watakaofika kwenye tamasha hilo ambalo litaanza majira ya saa nane mchana leo Oktoba 09,2016, watabarikiwa na kufunguliwa kiroho na hivyo kuwa huru na vifungu vinavyowatesa.
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.