LIVE STREAM ADS

Header Ads

TANZIA: MSANII LAU WA JOHN KUTOKA JIJINI MWANZA AFIWA NA MZAZI WAKE.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com


"Mwanachama Mwenzetu, Msanii Lau Wa John, amefiwa na baba yake mzazi leo Oktoba Mosi asubuhi baada ya kuugua kwa muda. Msiba uko mkoani Mara. 

Ukipata muda, unaweza kumfariji katika kipindi hiki kigumu. Pia kama BMG ni vyema kumfariji mwenzetu, na hii ndiyo nambari yake ya simu 0766523278. RIP BABA LAU". Ni ujumbe uliopachikwa na uongozi wa kundi la Whatsupp la BMG kufuatia msiba huo.

No comments:

Powered by Blogger.