LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAPPY BIRTH DAY MKALI WA MUZIKI JIJINI MWANZA, ELIZAYO HB. HAKIKA USIPOKATA TAMAA, UTAFIKA MBALI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com


Oktoba Mosi a.k.a tarehe 01.10, miaka kadhaa iliyopita, alizaliwa mkali wa masauti Jijini Mwanza, Elizayo HB. 
BMG inakutakia kheri ya kuzaliwa na Mola akujaalie miaka mingi ili uendelee kutusua kwenye muziki wa Mwanza, Kanda ya Ziwa, Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na duni nzima kwa ujumla. 

Kumbuka wewe ni wa viwango vya kimataifa kwenye uimbaji, ni wakati tu haujafika, hakika ipo siku dunia itakutambua, na wanaokubeza leo, ipo siku watasema YES ikiwa tu hautakata tamaa kwenye muziki huu wa Tanzania ambao wengi wanaamini bado uko mikononi mwa baadhi ya watu, wanadhani kwamba bila wao, msanii yeyote hawezi kufanikiwa.
Bonyeza HAPA Kusikiliza

No comments:

Powered by Blogger.