LIVE STREAM ADS

Header Ads

BI.FATMA KUWAFUNDA WANAWAKE KWENYE KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mbali na kupata burudani, chakula pamoja na vinywaji, mfundaji mashuhuri nchini Bi.Fatma atakuwa mfundaji kwenye Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza, tarehe 06.11.2016 Gold Crest Hotel.
Ni kuanzia saa kumi alasiri kwa kiingilio cha shilingi elfu arobaini tu.
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi

No comments:

Powered by Blogger.