LIVE STREAM ADS

Header Ads

MSANII NYASA BOY KUTOKA JIJINI MWANZA ASAJILIWA TIGO FIESTA 2016.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Novemba 5, mwaka huu itakuwa kilele cha burudani show ya Tigo Fiesta 2016, ambapo mastaa mbalimbali wa kitaifa na kimataifa watadondosha burudani.

Kabla ya show hiyo kumekuwepo na post mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii juu ya wasanii watakaokuwepo ambapo nyingine zimekanushwa na waandaaji kwa kuwa ni za mizaha ikiwemo post ya Jay Z kutoka Marekani.

Leo BMG imekutana na post ya msanii kutoka Jijini Mwanza anayechipukia kwa kasi, Nyasa Boy, kwamba amesajiliwa Tigo Fiesta 2016 hivyo ikiwa ni kweli itakuwa ni hatua kubwa kwake japo haijathibitishwa ikiwa ni kweli.

No comments:

Powered by Blogger.