LIVE STREAM ADS

Header Ads

ZARRY EDOSHA KUTOA BURUDANI KWENYE KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Usikose burudani ya #LIVE kutoka kwa Zarry Edosha ndani ya Gold Crest Hotel Jijini Mwanza kwenye Kongamano la Sauti ya Mwanamke, ni kuanzia saa kumi alasiri kwa kiingilio cha shilingi elfu arobaini tu ambapo utapata elimu, chakula na vinywaji.
Bonyeza HAPA Kwa Taarifa Zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.