LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAWA JAMAA NI ZAIDI YA SIMBA NA YANGA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com


BMG imekutana na picha mtandaoni ikiwaonesha watoto wakisakata kandanda kwa style ya kistaa zaidi. Baadhi ya wapenda utani mtandaoni, wanasema wachezaji hawa ni zaidi ya wale wa mahasimu wa soka nchini, Simba na Yanga. 

Ni utani tu, lakini bila kujalisha picha hii ilipigwa wapi, ni kweli kwamba watoto wana ndoto na vipawa vingi huko mtaani hivyo ni vyema wakafikiwa ili kuendelezwa.

No comments:

Powered by Blogger.