LIVE STREAM ADS

Header Ads

MDAHALO WA TAASISI ZA SERIKALI NA BINAFSI WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Mwenyekiti Kamisheni ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bahame Nyanduga, akitoa utambulisho wakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu jana jijini Dar es Salaam.
Na James Salvatory, BMG
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad akisisitiza jambo wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi kwenye mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu jana jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi akisisitiza jambo wakati akifungua mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu mapema jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia wakimsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi (hayupo pichani) wakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu jana jijini Dar es Salaam
Baadhi ya washiriki wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia wakimsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi (hayupo pichani) wakati wa mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu jana jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa mdahalo mdahalo wa Taasisi za Serikali, Dini na Asasi za Kiraia kuelekea maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Suzan Mlawi jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Powered by Blogger.