LIVE STREAM ADS

Header Ads

UONGOZI WA BMG UNAKUTAKIA KRISMASI NJEMA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Uongozi wa Binagi Media Group #BMG unakutakia Krismasi Njema mpenzi msomaji. Hakika ni furaha tele siku ya leo Disemba 25 maana ni miaka zaidi ya 2,000 tangu mkombozi wa ulimwengu, Yesu (Emmanuel), azaliwe, (Kwa Imani ya Wakristo).

Usiku Wakristo wote kote duniani (kulingana na masaa ya nchi husika), wameungana pamoja katika ibada za kusubiri kuzaliwa kwa Yesu Kristo ambapo pia leo ibada hizo zinaendelea katika nyumba mbalimbali za ibada. Hata hivyo waumini wa madhehebu mengine na hata wasio na dini wanaungana na Wakristo katika kusherehekea siku hii.

Kumbuka kusherehekea kwa Amani na kwa misingi inayompendeza Mungu. Epuka uharifu wa aina yoyote, Mungu azidi kukubariki, Amen!

No comments:

Powered by Blogger.