Wanafunzi wakiwa wamebebwa kwenye gari aina ya Noah kwa wingi uliopitiliza. Wazazi na walezi kuweni makini na shule za binafsi mnazopeleka watoto wenu. Hakika hii ni School Van ya ajabu kuliko zote 2017.
#EnglishMediumSchool2017 #BMGHabari
BASI LA SHULE.
Reviewed by BMG Media
on
January 27, 2017
Rating: 5
No comments: