LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAZISHI YA BIBI CATHERINE MARWA (89) YAFANYIKA KENYAMANYORI TARIME MKOANI MARA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Tarime mkoani Mara, akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu, bibi Catherine Seba Marwa Mgaya, zaidi akifahamika kwa jila la Nyangi Oghetango (miaka 89). Mazishi yamefanyika hii leo katika Kata ya Kenyamanyori wilayani Tarime.
Na Lucas Binagi @BMG
Ibada ya mazishi ya marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89) aliyefariki
Mazishi ya marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89)
Ndugu, jamaa na marafiki wakiuaga mwili wa marehemu
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likipelekwa malaloni
Jeneza likishushwa kaburini
Ndugu, jamaa na marafiki wakiweka udongo kwenye kaburi ishara ya kumuaga
Wanafamilia wakiwema shada
Mtoto wa marehemu (kushoto) akiwa na shemeji yake, wakiweka shada
Wajukuu wakiweka mashada
Wanafamilia wakiweka mashada
Wanafamilia wakiweka mashada
Viongozi wa dini wakiweka mashada
Neno la shukrani kutoka kwa msemaji wa familia
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye mazishi
Wanandugu
 Marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89), enzi za uhai wake. Mola aipumzishe roho ya marehemu, mahala pema, peponi, Amina!

No comments:

Powered by Blogger.