LIVE STREAM ADS

Header Ads

KIDUME NANESA YA NGETA AKIWA NA COYO NI NGOMA KALI BALAA KUTOKA ROCK CITY.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Hakika mwanamuziki wa kizazi kipya anayechipukia kwa kasi ya ajabu Ngeta ameudhihirishia umma wa wapenda burudani Tanzania na hata nje ya Tanzania kwamba Jiji la miamba yaani Rock City Mwanza ni chimbuko la muziki wa kizazi kipya wa kufoka foka kwa maana ya Hip Hop kwa hapa nchini.

Ni jamaa fulani hivi ambaye amelelewa kwenye mikono salama ya nembo ya burudani Tanzania, WideScreen Entertainment. Maelezo haya mafupi ni mwanzo tu wa BMG kukujuza kwamba Ngeta ameachia wimbo mpya mtamu balaa uitwao Kidume Nanea akiwa amempa shavu mkali wa michano Mwanza, Coyo. Ngoma imetengenezwa na DayDream Jijini Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.