LIVE STREAM ADS

Header Ads

TUNDU LISSU AZUNGUMZIA SAKATA LA TLS KUFUTWA IKIWA WANASIASA WATAGOMBEA UONGOZI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundu Lissu, amesikitishwa na baadhi ya viongozi nchini wanaopinga uamuzi wake wa kuombea uongozi katika Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS.

Lissu ameyasema hayo Jijini Mwanza baada ya wanahabari kutaka kujua msimamo wake kufuatia Waziri wa Sheria na Katiba Dkt.Harrison Mwakyembe kuonya kufuta usajili wa TLS ikiwa itaruhusu wanasiasa kugombea uongozi katika uchaguzi ujao.
 #BMGHABARI

No comments:

Powered by Blogger.