LIVE STREAM ADS

Header Ads

CITY FM RADIO 91.1 Dar-es-Salaam Yapokea Muziki wa Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Displaying Mjumbe maalumu wa Ngoma Africa Band bwana Salehe Ngayonga mwenye kofia akimkabidhi baadhi ya CD Bw.Adam Zuberi mkuu wa matangazo wa City FM radio ya Dar.jpg
Projectus Lugumalila 
Baada ya wadau wa muziki wa dansi kutaka kusikia mdundo wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni inayongozwa na mwanamuziki Kamanda Ras Makunja uchezwe redioni,nyimbo hizo zimekabidhiwa katika CITY FM RADIO 91.1

ya jijini Dar-es-Salaam mapema leo,kwa sasa wadau wa muziki wa dansi 
watapata burudani ya kusikia nyimbo za bendi hiyo iliyojijengea umaarufu wa kimataifa na kuteka nyoyo za washabiki katika majukwaa ya kimataifa.

Ngoma Africa band imedumu katika medani ya muziki kwa takribani miaka 23 tangu ianzishwe mwaka 1993 na kiongozi wake Kamanda Ras Makunja yenye makao yake nchini ujerumani.
pia unaweza kuwasikiliza at www.ngoma-africa.com

No comments:

Powered by Blogger.