LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAANDALIZI YA SIKU YA TANZANIA NCHINI MAREKANI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com


Aprili 29, 2016, Mstahiki Meya wa jiji la Dallas, jimbo la Texas nchini Marekani aliitangaza rasmi siku hiyo kuwa SIKU YA TANZANIA.

Na mwaka huu, Jumuiya ya waTanzania waishio jimboni humo kwa kushirikiana na Baraza la waTanzania waishio nchini Marekani (Diaspora Council of Tanzanians in America) wanaandaa maadhimisho makubwa ya siku hiyo yatakayofanyika katika jiji la Dallas.

Viongozi Ben Kazora wa Jumuiya ya Dallas na Charles Bishota wa DICOTA wamezungumza na Mubelwa Bandio kuhusu maandalizi ya siku hiyo, KARIBU USIKILIZE.

No comments:

Powered by Blogger.