LIVE STREAM ADS

Header Ads

VIDEO: UHALISIA WA TAARIFA ZA MTI KUZUNGUMZA JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Jana wakazi wa Jiji la Mwanza walifurika eneo la Pasiansi kushuhudia zoezi la ung'oaji mti uliokuwa umegoma kung'olewa tangu juzi jumapili huku ikielezwa mti huo ulikuwa ukilia kama mtoto mchanga pindi unapokatwa. 
Sasa BMG Habari imeubaini ukweli wa mambo hivyo tazama video hiyo hapo juu.

No comments:

Powered by Blogger.