LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkuu wa Mkoa Mwanza ashuhudia wachezaji wa Mbao wakijinoa vikali

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG

Ikiwa zimesalia siku chache kuelekea kwenye msimu mpya wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara, timu ya Mbao FC ya Jijini Mwanza imeendelea kujinoa vikali ili kuhakikisha inafavya vyema kwenye ligi hiyo inatarajia kuanza Agosti 22, 2018.

Katika kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa, Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe.John Mongella ameitembelea timu hiyo ikiwa kwenye mazoezi na kuzungumza na wachezaji wake na kuwasisitiza kuhakikisha wanapata ushindi kila mechi.

Mkuu wa Mkoa Mwanza Mkhe.John Mongella akisalimiana na wachezaji wa Mbao FC
Mhe.Mongella ameusifu uongozi wa timu ya Mbao kwa kusajili wachezaji wazawa ili kuwapa fursa ya kuonyesha vipaji vyao
Wachezaji wa Mbao FC wakijiona kwenye uwanja wao wa nyumbani uliopo Ilemela Jijini Mwanza

No comments:

Powered by Blogger.