LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwanza waja na suluhisho la wakazi wa milimani kutiririsha majitaka

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof. Makame Mbarawa amezindua mradi wa majisafi na usafi wa mazingira (LV WATSAN) katika makazi yenye miinuko mkoani Mwanza, lengo likiwa ni kuzuia uchafuzi wa mazingira kupitia utiririshaji ovyo wa majitaka.

Uzinduzi wa mradi huo unaosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mkoani Mwanza (MWAUWASA) ulifanyika Agosti 15, 2018 katika Mtaa wa Unguja Kata ya Mabatini Jijini Mwanza ambapo unatekelezwa katika wilaya za Nyamagana, Ilemela pamoja na Magu. 
PIA SOMA Waziri wa Maji aipongeza MWAUWASA

No comments:

Powered by Blogger.