LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri wa Maji na Umwagiliaji aipongeza MWAUWASA

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mkoani Mwanza MWAUWASA, Edith Mdogo akizungumza wakati wa ziara ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof. Makame Mbarawa kwenye ofisi za mamlaka hiyo.

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof. Makame Mbarawa amezindua ofisi za Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mkoani Mwanza MWAUWASA, na kuipongeza mamlaka hiyo kwa utendaji bora wa kazi.

Akizungumza na wafanyakazi wa MWAUWASA baada ya uzinduzi huo, Mhe. Prof. Makame Mbarawa aliwataka kuhakikisha wanafikisha huduma ya maji kwa wananchi wote huku wakiongeza kasi ya ukusanyaji wa ankra za maji hadi kufikia shilingi bilioni 2.8 kwa mwezi.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella akiwasilisha salamu zake
Mbunge jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Pro. Makame Mbarawa (kulia).

PIA SOMA MWANZA- Huduma ya maji kupatikana kama umeme wa luku

No comments:

Powered by Blogger.