LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwenge wa Uhuru kuwasili wilayani Misungwi leo

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

 Jumapili Agosti 26, 2018 Mwenge wa Uhuru uliwasili mkoani Mwanza na kuanza mbio zake katika wilaya ya Kwimba kabla ya kuelekea wilayani Magu jana Agosti 27, 2018 na hatimaye kuwasili hii leo Agosti 28, 2018 wilayani Misungwi. Tazama mapokezi ya Mwenge mkoani Mwanza

No comments:

Powered by Blogger.