LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ujumbe wa kusisimua kutoka kwa wanafunzi wa Mitindo wilayani Misungwi

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Maalum ya Mitindo wilayani Misungwi wakiimba wimbo wa kuukaribisha Mwenge wa Uhuru uliofika shuleni hapo kukagua mradi wa uhifadhi wa maji na kisima kirefu cha maji shuleni hapo jana Agosti 28, 2018.
Mwenge wa Uhuru wilayani Misungwi umekagua, kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi minane ikiwemo ya afya, barabara, ufugaji samaki na maji yenye thamani ya shilingi bilioni 2.3
Mwenge kupitia miradi ya mabilioni mkoani Mwanza

No comments:

Powered by Blogger.