LIVE STREAM ADS

Header Ads

Biteko aipiga jeki Mahakama ya Mwanzo Runzewe

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma za Habari na Mangazo.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Mashaka Biteko (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini ameipiga jeki Mahakama ya Mwanzo Runzewe kwa kuahidi kutoa vitendea kazi ili kurahisisha utoaji huduma kwa wananchi.


Biteko ameahidi kununua komputa pamoja na printa kufuatia ombi la Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Mhe. Joseph Nimilwa Nicodemus.

Tazama BMG Online Tv hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.