LIVE STREAM ADS

Header Ads

HATARI: Ukosefu wa madaraja msimu wa mvua

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma ya Habari na Matangazo.

Wakazi wa Mtaa wa Kilaba Kata ya Buswelu Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wameiomba serikali kuwajengea madaraja katikabarabara kuu ya mtaa huo ili kuwaondolea adha ya usafiri wanayoipata katika msimu wa mvua.

Wamesema katika kipindi cha mvua hatari ni kubwa hususani kwa wanafunzi kwani mara kadhaa wamenusurika kusombwa na maji. Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.