LIVE STREAM ADS

Header Ads

TUNAKUMBUSHANA: Kivuko cha MV. Kome II wilayani Sengerema

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Kivuko cha MV Kome II kinatoa huduma ya usafirishaji mizigo na abiria katika Ziwa Victoria kati ya Nyakaliro na Kome katika Halmashauri ya Buchosa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.

Kwa nyakati kadhaa ikiwemo msimu wa Sikukuu, mahitaji ya Kivuko huwa ni makubwa hivyo wakazi wa Buchosa wanashauri Serikali kuongeza Kivuko cha pili ili kurahisisha utoaji huduma.

No comments:

Powered by Blogger.