LIVE STREAM ADS

Header Ads

Msukuma na maswali yake ya mtego

Wasiliana na BMG kupitia 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com kwa huduma ya Habari na Matangazo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, jana akiwa njiani kuelekea uwanja wa ndege wa Chato baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi mkoani Geita, alisimama katika eneo la Katoro kusalimiana na wananchi.

Miongoni mwa viongozi waliopewa nafasi kusalimia ni pamoja na mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku “Msukuma” ambaye alitumia fursa hiyo kumuuliza swali Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko. Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.