LIVE STREAM ADS

Header Ads

Katibu wa CCM wilayani Nyamagana atoa hotuba ya kusisimua

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Nyamagana mkoani Mwanza, Salum Kalli akizungumza kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya chama hicho wilayani Nyamagana, uliofanyika hii leo katika ukumbi wa "Hand Hall" Jijini Mwanza.

Uchaguzi huo umefanyika baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Charles Nyamasiriri kuchaguliwa kuwa diwani wa Kata ya Isamilo katika uchaguzi mdogo uliofanyika Aprili 2018 na hivyo kujiuzulu nafasi hiyo kama ambavyo kanuni za uchaguzi za CCM za mwaka 2017 zinavyoelekeza kwamba mtwanachama mmoja anapaswa kuwa na cheo kimoja.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG Online TV hapa

No comments:

Powered by Blogger.