LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkurugenzi mpya CRDB aeleza changamoto aliyoachiwa na mtangulizi wake

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini (CRDB), Abdulmajid Nsekela (pichani), amewashukru wateja wa benki hiyo kwa kuendelea kutumia huduma za benki hiyo na kuwaahidi huduma bora zaidi.

Aliyasema hayo jana jioni (Januari 29, 2019) kwenye hafla ya kutambulishwa kwa wateja na wafanyakazi wa benki ya CRDB Kanda ya Ziwa Mwanza na Shinyanga, iliyofanyika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.

Nsekela alitumia fursa hiyo kuweka bayana changamoto aliyoachiwa na mtangulizi wake, Dkt. Charles Kimei.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini (CRDB), Abdulmajid Nsekela (mwenye tai nyekundu), akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo Kanda ya Ziwa.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.