LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza ampongeza Mkurugenzi mpya CRDB “tulisoma wote”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amempongeza Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini (CRDB), Abdulmajid Nsekela kwa kuchaguliwa kushika nafasi hiyo.

Pongezi hizo za RC Mongella, zilitolewa jana jioni (Januari 29, 2019) na Mkuu wa Wilaya Ilemela, Severine Lalika (pichani juu) kwenye hafla ya kumtambulisha Nsekela kwa wafanyakazi na wateja wa benki ya CRDB Kanda ya Ziwa Mwanza na Shinyanga, iliyofanyika Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mfanyabiashara na Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Said Meck Sadick akizungumza na wanahabari kwenye hafla hiyo ambapo alitoa rai kwa mabenki mbalimbali nchini ikiwemo CRDB kupunguza riba ya mikopo kwa wateja wake.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.