LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkurugenzi CRDB tawi la Mwanza astaafu kwa heshima

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Wafanyakazi wa Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini (CRDB) Kanda ya Ziwa Mwanza na Shinyanga, wamemuaga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi wa benki hiyo tawi la Mwanza, Wambura Calystus (pichani juu) ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria.

Hafla ya kumuaga Wambura ilifanyika jana jioni (Januari 29, 2019) katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza, ikiambatana pia na hafla ya kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa benki hiyo, Abdulmajid Nsekela.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkurugenzi mpya wa CRDB tawi la Mwanza, Denis Mwoleka akizungumza kwenye hafla hiyo.
Mkurugenzi mstaafu wa CRDB tawi la Mwanza, Wambura Calystus (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya CRDB, Ally Hussein Laay (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) pamoja na wageni waalikwa kwenye hafla hiyo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.