LIVE STREAM ADS

Header Ads

MUSUKUMA- “Nimeumia sana, niko tayari chama changu kinihoji”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Kasheku “Musukuma” (CCM), akizungumza na wananchi kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Kijiji cha Kasota, Kata ya Bugurura ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika maeneo mbalimbali jimboni humo.
Tazama BMG Online TV hapa chini (Na Joel Maduka, Geita).

No comments:

Powered by Blogger.