LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la Under The Same Sun Tanzania laeleza mafanikio yake tangu mwaka 2009

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Shirika la kimataifa la kutetea haki za watu wenye ualibino la Under The Same Sun (UTSS), linaadhimisha miaka 10 tangu kuanza kufanya shughuli zake nchini Tanzania mwaka 2009. Shirika hilo liliasisiwa na Peter Ash mwaka 2008 nchini Canada.

Katika kusherehekea miaka 10 ya shirika la Under The Same Sun Sun Tanzania, shirika hilo limeandaa mafunzo kuhusu namna ya kuondoa hofu kwa watu wenye ualibino yanayofanyika Jijini Mwanza kuanzia Februari 05 hadi 09, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mtendaji Mkuu wa Shirika la kimataifa la kutetea haki za watu wenye ualibino la Under The Same Sun, Peter Ash (katikati), akizungumza na wanahabari Jijini Mwanza kuhusu miaka 10 ya shirika hilo tangu lianze kufanya kazi nchini Tanzania. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo nchini Tanzania, Berthasia Ladislaus na kulia ni Kondo Seif ambaye ni Afisa Uraghibishaji wa shirika hilo hapa nchini.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.