Header Ads

Simba yawapindua Al Ahly Jijini Dar

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Timu ya Soka ya Simba ya Tanzania imeibuka na ushindi wa bao 1:0 dhidi ya All Ahly ya Misri kwenye mchezo wa marudiano wa klabu bingwa barani Afrika. Goli la Simba limetiwa kimiani na mchezaji Meddie Kagere.
BMG Habari
#PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.