LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mongella asisitiza utoaji haki mahakamani kwa wakati

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Tanzania katika viwanja vya Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, hii leo Februari 06, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria nchini yaliyoanza Januari 31, 2019 ikiwa ni mwaka wa 23 tangu yaasisiwe mwaka 1993 ambapo mwaka 2015 yalianza kufanyiwa maboresho na elimu ya sheria kuanza kutolewa kwa umma kupitia njia mbalimbali ikiwemo maonesho. 
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na waheshimiwa majaji wa Mahakama Kuu pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na waheshimiwa majaji wa Mahakama Kuu pamoja na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa Mwanza.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na waheshimiwa majaji wa Mahakama Kuu pamoja na viongozi mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na waheshimiwa majaji wa Mahakama Kuu pamoja na viongozi mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na waheshimiwa majaji wa Mahakama Kuu pamoja na viongozi mbalimbali wa Mahakama.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na waheshimiwa majaji wa Mahakama Kuu pamoja na mawakili wa kujitegemea na serikali.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na waheshimiwa majaji wa Mahakama Kuu pamoja na mawakili wa kujitegemea na serikali.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.