Aggrey Mwanri- Acheni nchi hii ikamatwe na mwanaume/ Shikamoo Geita
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa
wa Tabora, Aggrey Mwanri akitoa salamu kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa ya Kanda ya
Ziwa kwenye Ufunguzi wa Soko Kuu la Dhahabu mkoani Geita, Machi 17, 2019. Mgeni
rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Tazama BMG Online TV hapa chini
No comments: