LIVE STREAM ADS

Header Ads

Geita Mkoa wa kwanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkoa wa Geita umekuwa wa kwanza kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Magufuli kwa Wizara ya Madini kusimamia uanzishwaji wa masoko ya madini hapa nchini ambapo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kufungua Soko Kuu la Dhahabu Mjini Geita, Machi 17, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Waziri wa Madini, Doto Biteko (kulia) ametembelea eneo la Soko Kuu Mjini Geita kujionea maandalizi ya ufunguzi wa Soko Kuu la Madini mkoani Geita. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Geita, Mhandisi Gabriel Robert.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.