LIVE STREAM ADS

Header Ads

Biteko awasili jimboni kwa kishindo/ apokelewa kwa shangwe

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Biteko (CCM), akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Ihulike, Kata ya Ushirombo hii leo Machi 01, 2019 ikiwa ni mara ya kwanza tangu ateuliwa kuwa Waziri wa Madini mwezi Januari 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Wakazi wa Kijiji cha Ihulike wakimsikiliza mbunge wao, Doto Biteko ambaye pia ni Waziri wa Madini.
Afisa Mtendaji Kata ya Ushirombo, Shania Abdul akisoma taarifa kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Kata hiyo.
Mbunge Doto Biteko ameweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ihulike na kuchangia shilingi Milioni mbili kwenye ujenzi huo.
Ujenzi wa madarasa mawili katika shule ya msingi Bulumbaga Kata ya Runzewe Mashariki.
Wakazi wa Kijiji cha Bulumbaga Kata ya Runzewe Mashariki wakimsikiliza mbunge wao, Doto Biteko.
Tazam BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.