LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani 2019

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Selemani Jafo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani hii leo Machi 20, 2019 katika viwanja vya shule ya msingi Meru.
Daktari wa Chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno, Dkt. Kasusu Nyamuryekung'e akiwaonesha mfano wa meno bandia ya kufundishia wanafunzi wa shule za Msingi Uhuru na Makumbusho Arusha wakati wa kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani.
Daktari wa Chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno, Manispaa ya Ubungo Dar es Salaam, Dkt. Iddi Khery akiwafundisha wanafunzi wenye mahitaji maalum wa shule ya msingi Patandu wilayani Arumeru Arusha jinsi ya kutunza usafi wa kinywa na meno.
Wananchi wakisubiri kupatiwa huduma inyotelewa na Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno katika viwanja vya Shule ya Msingi Meru Arusha.
Na Khamisi Mussa

No comments:

Powered by Blogger.