LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkuu wa Mkoa Tabora azindua jukwaa la "NAWEZA"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Mkuu wa Mkoa Tabora, Aggrey Mwanry akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jukwaa la "NAWEZA" kupitia mradi wa USAID Tulonge Afya kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, linakalolenga kutoa elima ya afya kwa wananchi hususani watu wazima. Uzinduzi huo ulifanyika fanyika jana Mjini Tabora. Wanaoshuhudia ni pamoja na Mganga Mkuu wa Mkoa, Honoratha Rutatinisibwa.
Na Michael Machellah
 Mkuu wa Mkoa Tabora, Aggrey Mwanry akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa jukwaa la "NAWEZA" linakalolenga kutoa elima ya afya kwa wananchi hususani watu wazima.
 Mkuu wa Mkoa Tabora, Agrey Mwanri pamoja na viongozi mbalimbali wakifurahia jambo kwenye uzinduzi huo.
#PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.