LIVE STREAM ADS

Header Ads

Huna kitambulisho cha JPM/ hulipi kodi/ unakamatwa kwa uzururaji

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Geita, Mhandisi Robert Gabriel ameonya kwamba yeyote ambaye hana kitambulisho cha mfanyabiashara mdogo na hajasajiliwa kama mlipa kodi, atahesabika kama mtu asiye na shughuli maalum ya kufanya na hivyo kukamatwa kwa uzururaji.

Mhandisi Gabriel ametoa kauli hiyo kwenye uzinduzi wa zoezi la ujenzi wa vibanda 32 vya biashara katika soko kuu Mjini Geita, amnavyo hadi kukamilika kwake mwezi Juni mwaka huu, vitakavyogharimu shilingi bilioni 1.7 ikiwa ni fedha za huduma kwa jamii (CSR) kutoka mgodi wa dhahabu wa GGM.
Na Joel Maduka, Geita
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.