Header Ads

Ibada ya kuuaga mwili ya Dkt. Mengi jijini Dar

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Dkt. Reginald Mengi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya IPP na nyinginezo kadha wa kadha.

Dkt. Mengi alifariki asubuhi ya kuamkia Mei 02, 2019 nchini Dubai akiwa na miaka 77 ambapo mwili wake uliwasili jana Mei 06, 2019 hapa nchini. Ibada ya kumuaga inafanyika leo Mei 07, 2019 katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.

Viongozi mbalimbali wa Serikali na dini wamehudhuria ibada hiyo akiwemo Rais Dkt. John Magufuli, Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi.
BMG Online TV inaungana na vyombo vya habari washirika kukuletea ibada hii
#PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.