Header Ads

Shirika la KIVULINI lawajengea uwezo wanahabari mkoani Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Shirika la kutetea haki za wanawake na watoto (KIVULINI) la jijini Mwanza, limetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari mkoani Mwanza ili wasaidie utekelezaji wa mradi wa “sauti yangu, haki yangu katika kupunguza mimba za umri mdogo Manispaa ya Ilemela” unaosimamiwa na shirika hilo.

Pamoja na mambo mengine, mradi huo unalenga kuboresha upatikanaji wa huduma bora na rafiki za afya kwa vijana na wahanga wa ukatili ikiwemo ubakaji na kutokomeza mimba katika umri mdogo.
#PamojaDaimaBMG

No comments:

Powered by Blogger.