LIVE STREAM ADS

Header Ads

Haiwezekani mwanamke akichepuka ni haramu, lakini mwanamme ni halali- DC Bunda

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Bunda mkoani Mara, Lydia Bupilipili akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto awamu ya pili inayotekelezwa kwa ushirikiano baina ya Halmashauri za Wilaya hiyo na Shirika la KIVULINI.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Kampeni ya kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto awamu ya kwanza wilayani Bunda ilizinduliwa rasmi Novemba 19, 2018 katika Kata ya Mihindo huku awamu ya pili ikizinduliwa Juni 20, 2019 mjini Bunda.
Mkuu wa Wilaya Bunda mkoani Mara, Lydia Bupilipili (kushoto) akikabidhi tuzo kwa viongozi waliofanya vyema kwenye kampeni ya kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto awamu ya kwanza.
Mkuu wa Wilaya Bunda mkoani Mara, Lydia Bupilipili (kushoto) akikabidhi tuzo kwa Jeshi la Polisi baada ya kushiriki vyema kwenye kampeni ya kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto awamu ya kwanza wilayani humo.
Mkuu wa Wilaya Bunda mkoani Mara, Lydia Bupilipili (kushoto) akikabidhi tuzo kwa Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa Mara baada ya kushiriki vyema kwenye kampeni ya kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto awamu ya kwanza wilayani humo.
Mkuu wa Wilaya Bunda mkoani Mara, Lydia Bupilipili (kushoto) akikabidhi tuzo kwa viongozi mbalimbali wakiwemo Watendaji Kata, Madiwani na Maendeleo ya Jamii baada ya kushiriki vyema kwenye kampeni ya kutokomeza ukatili wa kijinsia awamu ya kwanza wilayani Bunda.
Tuzo hizo zilitolewa kwa viongozi na taasisi mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wao muhimu katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
Mkuu wa Wilaya Bunda mkoani Mara, Lydia Bupilipili akizungumza kwenye kikao kazi cha wadau wa kupambana na ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto wilayani Bunda kilichoambatana na uzinduzi wa kampeni ya kutokomeza ukatili wa kijinsia awamu ya pili wilayani humo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Bunda, Isack Maela akizungumza kwenye kikao kazi hicho.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Bunda, Isack Maela akisisitiza jambo kwenye kikao kazi hicho.
Mkurugenzi wa shirika la kutetea haki za wasishana na wanawake KIVULINI, Yassin Ally akizungumza kwenye kikao kazi hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la KIVULINI, Yassin Ally akizungumza kwenye kikao kazi hicho.
Mmoja wa washiriki wa kikao kazi hicho akitoa maoni yake.
Mkuu wa Wilaya Bunda, Lydia Bupilipili (wa nne kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali.
Picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa kampeni ya kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto awamu ya pili wilayani Bunda.
Viongozi mbalimbali wilayani Bunda wakiwa kwenye kikao kazi hicho.
Washiriki wa kikao kazi hicho wakiendelea kufuatilia mada mbalimbali.
Washiriki wa kikao kazi hicho wakiwa ukumbini.
Kikao kikiendelea.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.