Header Ads

Wakazi wa Kisiwa cha Ukara kuondokana na adha ya huduma za afya

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Kukamilika kwa upanuzi wa Kituo cha Afya Bwisya kutaondoa adha kwa zaidi ya wakazi 30,000 wa Kisiwa cha Ukara waliokuwa wakivuka maji ndani ya Ziwa Victoria kufuata huduma katika Kisiwa cha Nansio mjini Ukerewe ama jijini Mwanza. Upanuzi huo unagharibu zaidi ya Milioni 800.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.