Header Ads

Zoezi la utoaji tuzo za GAiN Tanzania 2019 #Mubashara kutoka jijini Arusha

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Karibu kutazama matangazo #Mubashara kutoka ukumbi wa AICC  jijini Arusha unakohitimishwa mkutano wa maafisa habari na mawasiliano wa Kanisa la Wasabato Tanzania (GAiN Tanzania) leo Jumamosi Juni 08, 2019 ambapo BMG Online TV tumejiunga na Morning Star TV.

No comments:

Powered by Blogger.