LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waajiri wajitokeza kuhtimiza haki za wafanyakazi wa nyumbani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mmoja wa wazazi waajiri wa wafanyakazi wa nyumbani jijini Mwanza, Mariam Maneno akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani yaliyofanyika viwanja vya Kishimba Jumapili Juni 16, 2019.

Alitumia fursa hiyo kutoa rai kwa waajiri wenzake wa wafanyakazi wa nyumbani kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa sheria za kazi ikiwemo kuwapangia kazi zenye staha waajiriwa wao, kuwaendeleza katika fani mbalimbali pamoja na kuwalipa stahiki zao kwa wakati.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Baadhi ya wazazi/ walezi jijini Mwanza waliowaajiri wafanyakazi wa nyumbani wakiwa kwenye maadhimisho hayo.
Mkurugenzi wa shirika la kutetea haki za watoto wafanyakazi wa nyumbani (WoteSawa), Angel Benedicto akifurahia burudani ya muziki pamoja na wafanyakazi wa nyumbani kwenye maadhimisho hayo.
Picha ya pamoja mgeni rasmi, Afisa Ustawi wa Jamii Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Davis Justine (wa tatu waliokaa) pamoja na waajiri na wafanyakazi wa shirika la WoteSawa.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa nyumbani jijini Mwanza na viongozi wa WoteSawa, Halmashauri ya Jiji la Mwanza na wazazi/ walezi wao.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.