LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza asisitiza uanzishwaji Vituo vya Mawasiliano ya Wajasiriamali

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amewataka Wakuu wa Wilaza za Mkoa huo kusimamia vyema uanzishwaji wa Vituo vya Mawasiliano (One Stop Centres) katika Halmashauri zote ili kuwasaidia wajasiriamali hao kupata utatuzi wa changamoto zinazowakabili.

Mongella aliyasema hayo jana Juni 17, 2019 wakati akihitimisha kikao cha Baraza la Biashara Mkoa Mwanza na kutumia fursa hiyo pia kuelekeza mambo muhimu ya kutekeleza kutokana na kikao hicho.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.