LIVE STREAM ADS

Header Ads

Watendaji Kwimba waonywa “acheni mazoea”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Wilaya Kwimba mkoani Mwanza, Senyi Ngaga akizungumza na wakazi wa Kata ya Shilembo kuhamasisha maendeleo, kusikiliza na kujibu changamoto zinazowakabili ambapo pia alitumia fursa hiyo kuwaonya baadhi ya watendaji wilayani humo kuacha mazoea na kutimiza majukumu yao ipasavyo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Wakazi wa Kata ya Shilembo wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya Kwimba mkoani Mwanza, Senyi Ngaga.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Kwimba, Pendo Malabeja akitolea ufafanuzi baadhi ya mambo kwenye mkutano huo.
Wakazi wa Kata ya Shilembo wakiwa kwenye mkutano huo.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.